Pages

Ads 468x60px

Labels

Sunday, October 9, 2016

Fundisho fupi toka kwa Daud Mogha

Story Fupi yenye fundisho la kuwa mkweli kwenye jambo lolote
Wakati wakulipa mahari
Mzee: kijana unaonekana unapenda mpira?
Kijana: Ndio mzee
Mzee: unapenda timu gani ligi kuu ya uingereza?
Kijana: Arsenal mzee
Mzee: unaishabikia kwa kipindi gani?
kijana: mwaka wa  7 sasa
Mzee akawaambia mshenga kwamba haitaji mahari ya huyu kijana na amempa mtoto wake bila mahari atangaze tu siku ya ndoa.
Baada ya wageni kuondoka mkewe akamuuliza imekuaje amuozeshe bila mahari
Mme: Mke wangu Ndoa ni uvumilivu kama huyu kijana ni shabiki wa Arsenal kwakweli ni mvumilivu najua atamtunza mwanangu bila tatizo lolote
Mke: kwanini unasema hivyo?
Mme: kama timu inakaa miaka zaidi ya 6 haijachukua kombe na bado unaishabikia ujue huyo mtu mvumilivu na anaimani kubwa mno
😂😂😂😂
Copy& Paste

No comments:

Post a Comment